Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amefanya ziara ya kikazi Wilaya ya Tunduru na kutembelea chuo cha VETA cha Nazareth Mbesa kinachomilikiwa na Kanisa la Biblia ambako amekuta idadi ndogo ya wanachuo wanaosoma.Chuo hicho kina uwezo wa kuchukua .wanachuo zaidi ya 140,wanachuo waliopo ni 68 kati yao wanaume ni 60 na wanawake wanane tu.Mwanachuo akihitimu mafunzo anapewa vifaa vyote bure kulingana na kozi aliyosomea.TAZAMA ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=79O0lDnrWdE
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.