Mbunge wa Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma Mheshimiwa Vita Kawawa ameipongeza Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo inayoongozwa na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Ndg. Philemon Magesa Kwa Usimamizi mzuri wa Ujenzi wa Shule sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassaniliyojengwa Kata ya Rwinga mjini Naamtumbo.
Kawawa ametoa pongezi hizo baada ya kufanya ziara yan kikazi katika sekondari hiyo ambayo hadi sasa ina wanafunzi Zaidi ya 600 wanaosoma kidato cha kwanza,cha tano na sita
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.