KIJANA wa Msamala mjini Songea Daniel Laitoni amemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme zawadi ya picha na kitabu ili ampelekee Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli.Laitoni amechora picha za Rais na kuandika kitabu ambacho kinazungumzia mafanikio yaliopatikana katika uongozi wa serijkali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.