MARUFUKU KULIMA KWENYE VYANZO VYA MAJI
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amepiga marufuku shughuli zote za kibinadamu kufanyika jirani na vyanzo vya maji.
Akizungumza na wananchi wa Mkongo Wilayani Namtumbo Kanali Thomas amesema baadhi ya wakulima wanalima kwenye vyanzo vya maji hivyo amewaagiza wakuu wa Wilaya zote kusimamia sheria za mazingira ili kulinda vyanzo vya maji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.