Kikao cha Mkakati wa Taifa wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake na watoto (MTAKUWWA cha robo ya kwanza kimeongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu Jumanne Mwankhoo na kufanyika kwenye ukumbi wa Mipango Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea
Kikao hicho kimejumuisha wadau mbalimbali mkoani Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.