MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amefanya ziara ya kushitukiza katika mradi wa kituo cha afya Mtakanini Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ambacho ujenzi wake umekamilika tangu Juni mwaka huu.Hata hivyo Mndeme amesikitishwa na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kushindwa kutekeleza maagizo yake ya kituo hicho kuanza kutoa huduma za matibabu kwa wananchi miezi miwili iliyopita.Ameagiza ifikapo Septemba 15 mwaka huu kuhakikisha kituo hicho kinaanza kuwahudumia wananchi wa Mtakanini.Tazama zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=y_g3vGQILZY
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.