kulia ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile akikagua mabanda ya maonesho nanenane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini jijini Mbeya ambapo alifanikiwa kukagua mabanda mbalimbali na kujionea bidhaa za wajasirimali wadogo kutoka Kanda hiyo.
Kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akizungumza wakati Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kapenjama Ndile anakagua mabanda ya maonesho ya nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.