Kulia ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile akiwaaga kikundi cha wasanii cha Mbeya kikiongozwa na Awilo ambacho kilitumbuiza wakati kiongozi huyo akiwa na timu ya viongozi mbalimbali wakiwemo wa kutoka Mkoa wa Ruvuma walipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye viwanja vya manonesho ya nanenane ya John Mwakangale jijini Mbeya
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.