PICHANI wa pili kutoka kulia ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea akiongozae mazoezi ya matembezi (Jogging)ambayo yameshirikisha Taasisi za umma na binafsi zaidi ya 30.
Matembezi hayo yenye kaulimbiu ya operesheni tokomeza vitambi yameanzia ofisi ya Mkuu wa Wilaya--Bombambili-Barabara ya Mjimwema hadi uwanja wa Zimamoto mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.