Pichani wa pili kutoa kulia ni Murugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Profesa Mohamed Janabi akikabidhi msaada wa dawa mbaimbali zilizotolewa kwa ajili ya Kituo cha Afya Mtakanini Kata ya Msindo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma ambapo Profesa Janabi akiwa na madaktari bingwa wa hospitali ya Taifa Muhimbili walitoa huduma za kibingwa katika Kituo hicho cha Afya.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.