Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Nyasa kuunda Tume ili kubaini sababu ya kusuasua ujenzi wa Kituo cha Afya Liparamba licha ya serikali kutoa shilingi milioni 500 za kutekeleza mradi huo.Pia RC Thomas amemuagiza Mkuu wa TAKUKURU kuchunguza mradi huo na mradi wa Kituo cha Afya kata ya Kingerekiti Wilaya ya Nyasa ambao pia ujenzi wake unasuasua.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.