Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere alipotembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwenye maonesho ya nanenane ya John Mwakangale Kanda ya Nyanda za Juu Kusini jijini Mbeya.
Mheshimiwa Nyerere alifurahishwa na bidhaa zenye ubora zilizotengenezwa na wajasiriamali wadogo wa Mbinga ambapo pia aliweza kununua baadhi ya bidhaa hivyo kuwaongezea kipato wajasirimali hao
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.