• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC RUVUMA akagua miradi wa maji wa bilioni 145

Imewekwa kuanzia tarehe: January 28th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas , amefanya ukaguzi wa maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa maji wa Miji 28 katika mji wa Songea.

Mradi huu unatekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 145.77 na unalenga kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa eneo hilo.

Kanali Abbas ametoa wito kwa Mkandarasi kuhakikisha kazi inaendelea bila kusimama.

Amehimiza kutumia vyanzo vingine vya fedha ili kuhakikisha ujenzi unasonga mbele kwa ufanisi.

“Mkandarasi anapaswa kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama kwa haraka,ni muhimu mradi huu ukamilike kwa ubora na ufanisi wa hali ya juu,” alisema Kanali Abbas

Akitoa taarifa kuhusu maendeleo ya mradi huo, Mhandisi Vicent Bahemana kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA) amesema kuwa ujenzi huo unahusisha ujenzi wa miundombinu ya maji kutoka Mto Njuga, uliopo kijiji cha Kikunja katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

Amesema mradi huo unatarajia kuongeza uzalishaji wa maji hadi lita milioni 17 kwa siku, hatua hali ambayo itasaidia kupunguza tatizo la upatikanaji wa maji katika mji wa Songea.

Mkurugenzi wa SOUWASA Mhandisi Patrick Kibasa amesema mradi huo huu unajumuisha ujenzi wa matenki matatu yenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni 9 za maji pamoja na usambazaji wa bomba za maji umbali wa kilomita 34.7.

Mradi wa Miji 28 unatekelezwa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC). Hadi sasa utekelezaji wake umefikia asilimia tano.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.