Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua program Jumuishi ya Kitaifa ya Malezi ,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto (MMMAMM)
Uzinduzi huo umefanyika kwenye ukumbi wa Mipango Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ukiwashirikisha wadau mbalimbali wa mtoto kutoka mkoani Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.