Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii mheshimiwa Mary Masanja ameweka silaha za jadi kwenye sanamu ya mashujaa ndani ya makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya mashujaa 67 wa vita ya Majimaji waliouwa na wajerumani Februari 27,1906
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.