Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kujenga reli ya kimkakati kutoka Mtwara hadi Mbambabay Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ifikapo mwaka 2025/2026.
Wizara ya Uchukuzi kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) inaangalia uwezekano wa kutekeleza mradi wa ujenzi wa reli kutoka Mtwara hadi Mbambabay na matawi yake ya Liganga na Mchuchuma kwa mfumo wa ubia (PPP)
Aidha Wizara ya Fedha na Mipango ipo kwenye mchakato wa kurekebisha sheria ya PPP ili kurahisisha upatikanaji wa wawekezaji kwenye miradi ya kimkakati ikiwa ni pamoja na mradi wa kimkakati wa ujenzi wa reli ya Mtwara hadi Mbambabay.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.