Antony Masebe ni Kamanda wa Kituo Kidogo cha Kanda Kusini Mashariki amesema serikali imetoa shilingi milioni 103 kujenga ukumbi wa kisasa katika bustani hiyo ambayo imekuwa inatoa elimu na kuwasaidia wanafunzi kuanzia shule za msingi,sekondari na vyuo kuweza kujipatia maarifa tofauti kuhusu utalii,
Amesema kituo hicho ambacho kipo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA kinasimamia bustani ya asili ya Ruhila ambayo ilianzishwa mwaka 1973 na imekuwa inapokea watalii wa aina mbalimbali kutoka ndani ya nje ya nchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.