• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI yatoa bilioni 12 kwa ajili ya TASAF Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: February 1st, 2025

SERIKALI ya Awamu ya Sita, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, inaendelea kutoa fedha  kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

Mkuu wa Wilaya ya Songea, Mheshimiwa Kapenjama Ndile,akifungua kikao cha tathmini ya mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) kwa wataalam wa ngazi ya Mkoa, Wilaya, na Halmashauri, kilichofanyika katika ukumbi wa Heritage Cottage mjini Songea, amesema Mkoa wa Ruvuma umepokea zaidi ya shilingi bilioni 12 kwa mwaka 2024 kwa ajili ya TASAF

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Ndile alieleza kuwa fedha hizo zinalenga kusaidia kaya maskini kuongeza kipato, kupata fursa za kiuchumi, na kuboresha maisha yao kupitia uwekezaji kwa watoto ili kuhakikisha wanapata elimu na maarifa ya kujikwamua kiuchumi.

Amesisitiza umuhimu wa kuzingatia miongozo ya serikali ili kuhakikisha fedha hizo zinasimamiwa ipasavyo na kuleta matokeo chanya kwa wananchi.

Naye Mratibu wa TASAF Mkoa wa Ruvuma, Xsaveria Mlimira, alifafanua kuwa kati ya Januari na Desemba 2024, kaya 47,721 zimeendelea kunufaika na mpango huo, huku kaya 18,912 zikiwa zimehitimu.

Amesema Mpango huo sasa uko katika awamu ya pili ya utekelezaji na unahusisha vijiji na mitaa 85 kutoka Wilaya zote za mkoa.

Kwa upande wa wanufaika, Regina Komba ameushukuru mpango wa TASAF kwa kumwezesha kuwasomesha watoto wake, jambo ambalo asingeliweza kufanya bila msaada huo.

Suzan Komba, mnufaika mwingine, alisema kupitia mpango huo ameweza kuanzisha miradi ya ufugaji wa kuku na nyuki, ambayo imemsaidia kuendesha maisha yake kwa uhakika

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.