SERIKALI imetoa shilingi milioni 250 kuanza ujenzi wa shule mpya ya Msingi Kitongoji cha Lizaboni Kata ya Muhukuru Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Menejimenti ya Mkoa ikiongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Stephen Ndaki imekagua ujenzi wa shule hiyo iliyopo kilometa 140 kutoka mjini Songea.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Neema Maghembe ameyataja majengo yanayojengwa kuwa ni jengo Utawala,vyumba tisa vya madarasa na vyoo matundu 30.
Shule hiyo inatarajia kuanza kuchukua wanafunzi Januari 2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.