Meneja wa Shamba la AVIV lililopo kijiji cha Lipokela wilayani Songea mkoani Ruvuma pichani wa kwanza kushoto akitoa taarifa ya uwekezaji mkubwa katika zao la kahawa kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu Profesa Joyce Ndalichako alipotembelea shamba hilo ambalo pia linatoa ajira kati ya 1000 hadi 3000.Katika ziara hiyo Prof Ndalichako aliongozana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas na Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile ambaye amesema shamba hilo linaingiza mapato kati ya shilingi milioni 500 hadi 700 kwa mwaka
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.