Wakazi wa Mji wa Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wanaendelea na shughuli za kiuchumi ikiwemo uvuvi katika ziwa Nyasa,ziwa hilo ni miongoni mwa maziwa machache duniani ambayo yana samaki wenye ladha tamu wakiwemo mbelele,mbasa,mbufu,hango ,dagaa Nyasa na aina n yingine nyingi za samaki
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.