Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akishuhudia zoezi la usainishwaji wa fomu za malipo ya fidia kwa wananchi wa kata ya Mwengemshindo ambao wametoa ardhi yao yenye ukubwa wa hekta 5000 kwa serikali lengo ni kupisha uwekezaji wa Viwanda kupitia Export Processing Zone Authority (EPZA)
Serikali imetoa kiasi cha shilling bilioni 5.3 kwa ajli ya kuwalipa wananchi 900 ambapo zoezi hilo limeanza Agost 16, 2023 katika Kata ya Mwengemshindo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.