Abasia ya Peramiho hivi karibuni imemsimika Abate mpya wa Abasia hiyo Mhashamu Emanuel Mlwilo katika Hafla iliyofanyika katika kanisa la Abasia hiyo lililopo katika mji mdogo wa Peramiho ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Mhagama ambaye aliwakilishwa na Naibu Waziri wa Afya Dr.Godwin Mollel
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.