Katikati mwenye suti ya kijivu ni Naibu Waziri wa Afya Dr.Godwin Mollel akiwa na mwenyeji wake Mwakilishi wa MKuu wa Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa kapenjama Ndile wakitembea katika viunga vya Abasia ya peramiho ,baada ya kushiriki kwenye sherehe za kusimikwa kwa Abate mpya wa Abasia hiyo Mhashamu Emanuel Mlwilo OSB leo Agosti 24,2024.Dr.Mollel amemwakilisha Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Mhagama .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.