PICHANI ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Ruvuma Mwl.Edith Mpinzile akihojiana na mmoja wa wanafunzi wa darasa la nne mara baada ya kumaliza mtihani wake.
Wanafunzi 54,702 kutoka Halmashauri zote nane za mkoa wa Ruvuma walianza mtihani wa Taifa wa upimaji darasa la nne ambao ulianza Oktoba 25 na kumalizika Oktoba 26,2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.