Watu 41 wamepoteza maisha mkoani Ruvuma kutokana na ajali 28 za barabarani zilizotokea katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Septemba mwaka huu.
Taarifa ya Usalama barabarani ya Mkoa wa Ruvuma na Mratibu Msaidizi wa Polisi Issa Milanzi kwenye Kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Ruvuma inaonesha kuwa katika kipindi hicho watu 69 walijeruhiwa kutokana na ajali hizo.na
Hata hivyo hali ya Usalama barabarani mkoani Ruvuma imeendelea kuimarika kutokana na utekelezaji wa mikakati mbalimbali ya kudhibiti ukiukwaji wa sheria za Usalama barabarani
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.