Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kwanza ya shule ya msingi St Nicholous kijij cha Msindo Wilaya ya Namtumbo ambapo jumla ya wahitimu tisa walitunukiwa vyeti vya kumaliza shule ya msingi.
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=dck-O7QN2Pw&t=6s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.