SHIRIKA la Ndege Tanzania ATCL limerejesha safari za anga kwenye kiwanja cha Songea kilichopo Ruhuwuko kuanzia Februari 17 mwaka huu,baada ya serikali kukamilisha ukarabati wa kiwanja hicho uliogharimu shilingi bilioni 37.Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Songea Dkt.Damas Ndumbaro amewaongoza wakazi wa Songea kwenye mapokezi ya ndege hiyo.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema akizungumza katika mapokezi ya ndege katika kiwanja cha ndege Songea.Kwa kuanzia safari za ndege za ATCL mkoani Ruvuma zitakuwa zinafanyika mara mbili kwa wiki siku ya Jumatano na Jumapili.
TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=7CjhtQ65D4I&t=52s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.