Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida ametembelea Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea,moja ya vitu vilivyomshangaza ni namna Makumbusho hiyo ilivyohifadhi dawa halisi ikiyotumiwa na mashujaa wa vita ya majimaji dhidi ya wajerumani kuanzia mwaka 1905 hadi 1907.
Makumbusho ya Taifa ya Majimaji iliyoanzishwa mwaka 1980 ndiyo Makumbusho pekee nchini ambayo unaweza kuona vitu halisi vikivyotumiwa na babu zetu .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.