Kulia ni Afisa Elimu Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Rozi Kangu akitoa maelezo kwa Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida kuhusu vita ya Majimaji ilivyopiganwa kuanzia mwaka 1905 hadi 1906 ambayo ilisababisha Mashujaa 67 mjini Songea kunyongwa na wajerumani mwaka 1906
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.