• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

BANDARI za Ndumbi na Mbambabay zitakavyofungua fursa za kiuchumi Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: August 23rd, 2024

Ujenzi wa bandari za Ndumbi na Mbambabay ziwa Nyasa wilayani Nyasa mkoani Ruvuma utatoa mchango mkubwa katika kukuza uchumi na kuimarisha uhusiano wa kijamii kati ya Tanzania na nchi jirani

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed  wakati anazungumza na wanahabari ofisini kwake mjini Songea.

Amesema bandari hizo ni sehemu muhimu ya mpango wa kitaifa wa kutengeneza  ushoroba wa Mtwara, ambao unatarajiwa kuchochea maendeleo katika mkoa wa Ruvuma na maeneo mengine nchini

Amezitaja nchi  za  Malawi na Msumbiji  kuwa zitanufaika na kwamba  bandari hizo  zitaongeza uhusiano wa kijamii na  kiuchumi kati ya nchi hizo na  kuimarisha zaidi uhusiano wa kimataifa.

" Bandari hizi zitawezesha usafirishaji wa abiria kati ya nchi hizo na kusaidia katika masuala ya kiuchumi na maendeleo kwa ujumla.

Kanali Abbas amesema bandari hizo zitafungua milango kwa nchi jirani kutumia miundombinu ya Tanzania kusafirisha bidhaa na kuwezesha usafirishaji wa makaa ya mawe yanayozalishwa kwa wingi mkoani Ruvuma.

Amesema katika utekelezaji wa miradi hiyo,watanzania wanapata faida kubwa ikiwemo  kuongeza ajira na kuimarisha uchumi wa mwananchi mmoja mmoja, mkoa na Taifa kwa ujumla

Mkoa wa Ruvuma umebarikiwa kuwa rasilimali nyingi yakiwemo madini,hivyo kuwa na miundombinu ya kisasa kama bandari, uwanja wa ndege, na barabara za kuaminika kunatoa fursa kwa wawekezaji kuwekeza hali inatakayochochea maendeleo na kukuza uchumi.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.