• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

BARAZA la Madiwani Manispaa ya Songea lapitisha makadirio ya bajeti ya bilioni 50

Imewekwa kuanzia tarehe: January 25th, 2020

MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea wamepitisha makadirio ya bajeti ya zaidi ya shilingi bilioni 50 katika mwaka wa fedha wa 2020/2021.

Makadirio ya bajeti hiyo yamefanyika katika Kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti Alhaj Abdul Hassan Mshaweji na kufanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.

Mwenyekiti wa Kikao hicho ambaye ni Mstahiki Meya Mshaweji amesema makadirio ya awali kwa mwaka  wa fedha za 2020/2021 yalikuwa ni shilingi milioni 50,595,932,264.50 ambayo yalitarajiwa kukusanywa kutoka vyanzo mbalimbali vtya mapato.

Hata hivyo amesema makisio hayo yalikuwa ni sawa na ongezeko la shilingi milioni 14,809,745,579.5 sawa na asilimia 41.3 ya lengo la makusanyo kwa mwaka 2019/2020.

“Baada ya mapendekezo ya kuongeza bajeti ya mapato kutoka katika Kamati mbalimbali za kudumu,makadirio ya bajeti yameongezeka kutoka milioni 50,595.932.264.50 hadi kufikia milioni  50,879,671,367.00 ikiwa ni ongezeko la shilingi 283,739,100.00 sawa na asilimia 0.56 ya makadirio ya awali ya mwaka 2020/2021’’,alisema.

Hata hivyo Mshaweji amesema kipaumbele katika bajeti hiyo mwaka huu kimewekwa kwa asilimia 40 katika masuala ya maendeleo ikiwemo sekta ya elimu kujenga miundombinu ya shule na madawati na kukamilisha zahanati kwa ajili ya huduma za afya katika mitaa ya Manispaa ya Songea.

Kwa mujibu wa Mstahiki Meya kipaumbele katika bajeti ijayo pia kimewekwa katika mikopo kwa wajasiriamali wadogo ambao ni wanawake,vijana na wenye ulemavu.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma

Januari 24,2020

 

 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.