Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amepokea msaada wa Vifaa vya kupambana na Corona vyenye thamani ya sh. milioni 1.5 kutoka Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) Mkoa wa Ruvuma.
Hafla ya kukabidhi vifaa hivyo imefanyika katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea na kuwashirikisha viongozi mbalimbali wa CPCT.Baraza la makanisa ya kipentekoste Tanzania linajumuisha umoja wa makanisa ya kilokole zaidi ya 80 yalipo nchini.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.