Serikali kupitia Wakala wa barabara (TANROADS) Mkoa wa Ruvuma,katika kipindi cha miaka mitatu imefanikiwa kutekeleza na kukamilisha miradi mbalimbali ya barabara ikiwemo ujenzi wa barabara ya lami nzito kutoka Mbinga-Mbambabay yenye urefu wa kilomita 66 iliyogharimu Sh.bilioni 129.361.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.