• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

BILIONI 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: October 8th, 2024

Na Gustaph Swai -Rs Ruvuma

Meneja wa  Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Tawi la Songea  Dkt. Bakari Mashaka amebainisha kuwa chuo hicho kinaleta mradi Mkubwa wa bilioni 18.5 za Kitanzania ambazo ni fedha za Serikali kujenga Chuo Kikuu Katika Mtaa wa Pambazuko kata ya Tanga Manispaa ya Songea.

Ameeleza hayo katika hafla ya ugawaji wa vifaa vya Michezo ambapo Chuo Kikuu hicho kimetoa mipira ya Miguu saba  kwa timu za mpira wa Miguu zilizopo katika mtaa wa Pambazuko Kata ya Tanga, Manispaa ya Songea.

"Tunaleta mradi Mkubwa wa takribani shilingi bilioni 18.5 za Kitanzania, ni fedha za Serikali kupitia  Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu ambaye ameweka lengo Kila Mkoa uwe na Chuo Kikuu", alisema.

Amebainisha kuwa Chuo hicho kitakapokamilika kitakuwa na uwezo wa kuchukua Wanafunzi kwa kuanzia 5,000 mpaka  10,000.

Sanjari na hayo ameeleza kuwa mradi huo utaanza kutekelezwa mapema kuanzia sasa mara baada ya taratibu za zabuni kukamilika na unatarajiwa kumalizika baada ya miezi 18.

Naye Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Pambazuko, Nickson Mhagama ameeleza kuwa wananchi wa Kijiji hiko wameupokea Mradi huo kwa furaha kubwa na wataendelea kushirikiana na Chuo  katika utekelezaji wa mradi huo.

Ameushukuru uongozi wa Chuo Kikuu hicho kwa kuwaelimisha Wananchi  juu ya faida za mradi huo.

 Chuo Cha Uhasibu Arusha kina eneo lenye ukubwa wa takribani hekta 26.5 katika Mtaa wa Pambazuko kata ya Tanga Manispaa ya Songea ambapo ndipo mradi wa Tawi la Songea Meneja wa  Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Tawi la Songea  Dkt. Bakari Meneja wa  Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Tawi la Songea  Dkt. Bakari Mashaka

Kushoto aliyesimama ni Meneja wa  Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Tawi la Songea  Dkt. Bakari Mashaka


Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.