Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Ruvuma imetenga bajeti ya shilingi bilioni 292.556 kujenga barabara ya lami nzito yenye urefu wa kilometa 66 kutoka Mbinga hadi Mbambabay ambayo imekamilika kwa asilimia 100 na barabara ya kutoka Kitai hadi Ndumbi yenye urefu wa kilometa 85 ambayo utekelezaji wake unaendelea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.