SERIKALI imetoa zaidi ya shilingi milioni 840 kupitia BOOST kujenga shule mpya za msingi katika kata za Tinginya na Tuwemacho Halmashauri ya wilaya y Tunduru mkoani Ruvuma.
Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Jumanne Mwankhoo imekagua miradi ya shule hizo na kupongeza Usimamizi mzuri uliofanywa na uongozi wa Halmashauri kwa kushirikiana na Kamati za ujenzi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.