Bwawa la asili ambalo limetokana na mbonyeo wa ardhi lililopo ndani ya hifadhi ya jamii Mbarang’andu wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma ni moja ya vivutio vya utalii vinavyovutia wengi.Bwawa hilo linaloitwa Kaunde limesheheni wanyama aina ya viboko na viumbe wengine na kwamba bwawa hilo halina chanzo lipo jirani na geti la Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Likuyu Namtumbo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.