Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho akishiriki kwa vitendo kwenye mradi wa ujenzi wa shule mpya ya sekondari kata ya Tuwemacho Wilaya ya Tunduru ambapo kupitia program ya uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) serikali imetoa shilingi milioni 560 kutekeleza mradi huo.
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma imeanza ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.