Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika Tunduru mkoani Ruvuma (TAMCU)Imani Kalembo amesema chama hicho kimewezesha kuingiza mapato ya shilingi bilioni 300 katika kipindi cha miaka mitano .Alikuwa akitoa taarifa ya chama hicho kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ofisini mjini Songea.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=VRF2cDM2aS8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.