Kulia ni Chifu wa Tano wa Wangoni Nduna Emanuel Zulu Gama akiwa ndani ya Kanisa la Abasia ya Peramiho katika sherehe za kusimikwa na kubarikiwa Abate mpya wa Abasia hiyo Mhashamu Emanuel Mlwilo ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Afya Mheshimiwa Jenista Mhagama ambaye aliwakilishwa na Naibu Waziri w Afya Dr.Godwin Mollel.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.