Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni tisa kukamilisha ujenzi wa daraja la Ruhuhu linalounganisha Mkoa wa Ruvuma na Mkoa wa Njombe kupitia mto Ruhuhu eneo la kijiji cha Lituhi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.