SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imekamilisha kazi ya ujenzi wa daraja la Mto Ruhuhu linalounganisha Mkoa wa Ruvuma na Njombe hali ambayo imesababisha wananchi katika mikoa hiyo kuepukana na kero ya kuvuka mto Ruhuhu kwa kutumia mitumbwi hali iliyosababisha baadhi ya wattu kupoteza maisha na mali zao wakati wanavuka mto huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.