Katibu Tawala Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mtella Mwampamba amewataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira ili kuondokana na magonjwa ya kipindupindu na homa ya tumbo.
Mwampamba ametoa Kauli hiyo wakati anazungumza katika viwanja vya Kata ya Lizaboni kwenye zoezi la usafi wa kila mwisho wa mwezi ambao ulishirikisha wananchi wa kata hiyo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.