Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mheshimiwa Ngollo Malenya akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya milioni 8 kutoka kwa Meneja Shughuli wa kampuni ya Premium Active Tanzania bwana Nico Rousso (kulia) ikiwa kama sehemu ya rudisho ya faida ya kampuni kwa ajili ya jamii ambayo imekuwa ikifanya nayo kazi katika ununuzi wa zao la tumbaku ya moshi na mvuke kwa msimu wa kilimo uliyopita wa 22/23
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.