• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

DC MBINGA awatahadharisha watumishi kuhusu mikopo

Imewekwa kuanzia tarehe: March 8th, 2024


Watumishi wa Serikali  Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wametakiwa kujiridhisha na taarifa za taasisi zinazotoa mikopo  kabla ya kuchukua mikopo kutoka katika  taasisi husika.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo katika kikao kazi kilichohusisha  walimu, watendaji wa Kata pamoja na taasisi za mikopo  zilizopo Wilayani  Mbinga.

Mangosongo ameeleza kuwa kumekuwa  na migogoro kati ya taasisi za mikopo pamoja na watumishi ambao ndio wakopaji  adha ambayo inaathiri utendaji kazi wa watumishi hao.

Ameitaja moja ya sababu ya migogoro hiyo ni watumishi  kuchukua mikopo kiholela  bila kuwa na taarifa sahihi za taasisi hizo na kupelekea baadhi yao kutapeliwa fedha zao au kukatwa makato makubwa tofauti na makubaliano.


"Kuna taasisi za magumashi unaenda pale anakusainisha mkataba hakupi na akikupa mkataba wa kimagumashi  na wewe una haraka ya hela mkataba husomi matokeo yake unatapeliwa" Amesema Mangosongo

Hata hivyo Mangosongo amewataka watumishi hao kujikita katika shughuli za kiuchumi na sio kutegemea mshahara pekee hali inayopelekea kujiingiza katika mikopo na kushindwa kulipa.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga  Andrew Mbunda  amebainisha kuwa kikao kazi hiko  kinakwenda kuleta  matokeo chanya na kubadilisha fikra za watumishi hao.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.