MKUU wa Wilaya ya Songea Mhe. Wilman Kapenjama Ndile, amefanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa miradi wa Soko Peramiho katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Akizungumza mbele ya uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea wakati wa ukaguzi wa mradi huo ambao unagharimu zaidi ya shilingi milioni 200 ambapo unatekelezwa na fedha kutoka mfuko wa TASAF, amesema kukamilika kwa mradi utaongeza mapato kwa Serikali
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.