Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Chiza Marando, amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri hiyo.
Miongoni mwa miradi ambayo ameikagua ni ujenzi wa shule, zahanati na Vituo vvya Afya ambapo amewataka wasimamizi wa miradi hiyo kuhakikisha inakamilika kwa wakati kwa kuzingatia ubora.
Amesema miradi hiiyo ni muhimu kwa wananchi wa Tunduru kwa kuwa itaboresha huduma za kijamii kama vile elimu, afya, na maji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.