Pichani aliyenyoosha mkono ni Naibi Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akikagua mradi wa sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma ambayo hadi sasa serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni nne kutekeleza ujenzi wa sekondari hiyo iliyopo wilayani Namtumbo ambayo imeanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha Tano mwaka huu.
Sekondari hiyo ambayo imesajiriwa kwa jina la Dkt Samia Suluhu Hassan ina uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000 wanaosoma kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.