Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt. Emanuel Nchimbi akikabidhi vyombo vya usafiri vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Madaba Dkt Joseph Mhagama miongoni mwa viongozi wa matawi katika hafla iliyofanyika mjini Madaba
Katibu Mkuu wa CCM yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya siku tano ambayo inatarajia kukamilika Aprili 24 mwaka huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.